Umbea bila picha haunogiJackline afanyiwa send off akiwa ktk maandalizi ya ndoa hapo badae.
Dada huyo wa watoto wawili aliingia ukumbini ndani ya gauni jeusi lenye mreefuuu.
Kila la heri watu wanatafuta ndoa hawapati ila huyu umri umeenda ila ndo bahati kama zotee
UwoyaHv huyu Dada aliwahi kuolewa na Dogo Janja au nimekosea?
Uzuri wake ana uwezo ameweza kuoa🤣Jackline afanyiwa send off akiwa ktk maandalizi ya ndoa hapo badae.
Dada huyo wa watoto wawili aliingia ukumbini ndani ya gauni jeusi lenye mreefuuu.
Kila la heri watu wanatafuta ndoa hawapati ila huyu umri umeenda ila ndo bahati kama zotee
Huyu anaolewa na aliemzalishaSingle mother akikuotea aisee huchomoki....
Wolper sio single mother, anaolewa na baba watoto wake, mchumba wake wa muda mrefuSingle mother akikuotea aisee huchomoki....