Jacqueline Wolper afanyiwa 'send off'

Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
26,046
47,578
Jacqueline afanyiwa 'send off' akiwa katika maandalizi ya ndoa hapo baadaye. Dada huyo wa watoto wawili aliingia ukumbini ndani ya gauni jeusi refu.

Kila la heri, watu wanatafuta ndoa hawapati ila huyu umri umeenda ila ndiyo bahati kama zote.
 
May be an image of 6 people and people standing
 
Jackline afanyiwa send off akiwa ktk maandalizi ya ndoa hapo badae.
Dada huyo wa watoto wawili aliingia ukumbini ndani ya gauni jeusi lenye mreefuuu.
Kila la heri watu wanatafuta ndoa hawapati ila huyu umri umeenda ila ndo bahati kama zotee
Umbea bila picha haunogi
 
Jackline afanyiwa send off akiwa ktk maandalizi ya ndoa hapo badae.
Dada huyo wa watoto wawili aliingia ukumbini ndani ya gauni jeusi lenye mreefuuu.
Kila la heri watu wanatafuta ndoa hawapati ila huyu umri umeenda ila ndo bahati kama zotee
Uzuri wake ana uwezo ameweza kuoa🤣
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom