Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
Watoto wanakuwaje Yatima wakati mama yao yupo hai, wewe upoje aiseeeh ?Wanamnyanyasa mjane na watoto yatima!!!
Hawajui Mungu alishakataza hayo.
Watoto wanakuwaje Yatima wakati mama yao yupo hai, wewe upoje aiseeeh ?Wanamnyanyasa mjane na watoto yatima!!!
Hawajui Mungu alishakataza hayo.
EĥhNyalandu kumbe alikuwa ana watoto kabla ya kumuoa Miss Tanzania Bi Faraja Kotta?