cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,324
Acha wamnyime hela ni ngumu, kwanza aliwadhalilisha ku Post mambo ya mzee na vi drama vya kiki ka kina diamond, halafu hakumu care vizuri huyo mzee, she was after money, unfortunately hakuwa smart kufanya mambo ya maendeleo yeye alitegemea miradhi.Haha Ukute watoto wa Mengi wanamnyima Kyln hela ili kumkomoa, labda wanampa vihela vya kula tu...ukute kyln akiuliza vipi, anaambiwa kampuni zote zimepata hasara cariha