Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Jack anamiliki appartment makongo juu. Kuna mtu namjua anaishi kwenye hizo nyumba za jack. Nahisi alijengewa ki siri siri. Maana mpaka leo kodi anapokea jack
Sasa hatosheki na malipo ya hiyo appartment? Lol
 
Tanteeeeh dea, bahat mbaya tyuuh hata sikutegemea km itakua iv, sina namna, namshukuru JAH kwa kunipa zawadi ya twins.
Ha ha ha nimechekaaa.a kama vile hakijatokea kitu vile. Hongera kwa ujasiri dia. Mungu ni mwema. My biggest wish to u is to live a happy.life to the fullest with ur angels. Ndo faraja yako dia.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
We hujitambui, akadangie mbele huko, kwa nini hawatambui watu aliowakuta
Huyu Mjane atendewe Haki.

Nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!

Huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!

Anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.

lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
 
Back
Top Bottom