Jacob Zuma: Mr President!

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
8,516
Points
2,000

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
8,516 2,000
Moderator, Baadaye unaweza kuitafutia hii mahala pake; nimeshindwa kujua niiweke wapi.

Hebu angalieni jamaa huyu Jacob Zuma ambaye baadaye anaweza kuwa rais wa taifa lenye nguvu kuliko yote Afrika. Anadumisha utamaduni.

 

G.MWAKASEGE

Senior Member
Joined
Jun 29, 2007
Messages
153
Points
0

G.MWAKASEGE

Senior Member
Joined Jun 29, 2007
153 0
Kwangu ilo sio tatizo kwani uko ndiko alikotoka.Tena anaonekana ni mtu wa watu ndo maana akachaguliwa kwa kishindo.Tena unaweza kuta walimpenda kwa ilo sio mnakuwa na raisi gloomy!!!!!!!!!!?????????
Keep it up Zuma
 

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2006
Messages
9,388
Points
2,000

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2006
9,388 2,000
duuu hilo panga halikiuki taratibu za ki VIP PRETECTION...well nakubaliana kabisa kama south wanataka kumpa huyu jamaa urais kwa vigezo hivi..mtu wa watu,anajimix..ets watuulize watanzania maana hawa ni kama pachas..HAPO ZUMA ALIKUWA AKISHEHEREKEA KUOA MKE WA NNE ..KIMWANA WA MIAKA 33....Huyu jamaa ni popular sana kama ukitaka mtu wa kugombea nae inabidi naye awe intertaioner kama OLIVER NTUKUDZIO,HUGH MASEKELA and the like ...lakini si mtu kama mbeki..au CYRIL RAMAPHOSA....hawamuwezi..!!!..NI KAMA kumshindanisha kikwete [msanii ,intertainer,mtu wa kujimix madisco,mtu wa watoto..just like zuma] na SALIM ,mkapa au mwandosya...hapo unahitaji busara za mtu kama mwalimu kuwafumbua macho kuwa jamani eeh mnachagua uzuri wa jeneza!!! ndani...HATA IDDI AMIN ALIKUWA INTERTAINER JAMANI ..SO guys lets watch this ...alikuwa hakosi music kila weekend..na alikuwa akikaribishwa ngoma lazima naye ajiunge kucheza na kuimba..pia akiwa mtu wa watoto...

ni viongozi wachache sana wenye sifa ya u celebrity and hence perfomers..kama mandela,kenedy,nyerere,CLINTON,YELTSIN ets ...Hawa walikuwa wana uwezo wa kipekee wa kuongea na wakiona usoni watu wanachoka wataleta COMEDY,au hata wakaimba..mtu kama yeltsin yeye alikuwa mara nyingi akipenda sana kuwa conductor wa opera...ets...huchoki kuwasikiliza na pia wanamake sense...

kuna aina nyingine ya viongozi kama MKAPA,MBEKI et al...hawa hawana muda wa kuitaretain wala hawana sifa ya siasa wao wanasema kile wanachotaka kusema basi..hawarembi kwa lolote!!!
 

Chief

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2006
Messages
1,909
Points
2,000

Chief

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2006
1,909 2,000
Mtu ambaye alisema alioga immediately il kujikinga na ukimwi baada ya kufanya ngono bila kinga na mwanamke mwathirika. Mmmh, that leaves a lot to be desired for a future president!!!
 

Kibunango

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2006
Messages
7,744
Points
1,500

Kibunango

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2006
7,744 1,500
Moderator, Baadaye unaweza kuitafutia hii mahala pake; nimeshindwa kujua niiweke wapi.

Hebu angalieni jamaa huyu Jacob Zuma ambaye baadaye anaweza kuwa rais wa taifa lenye nguvu kuliko yote Afrika. Anadumisha utamaduni.
Sasa hapo unamsifia, unamkandia au ni lugha tu ngumu...?
 

Forum statistics

Threads 1,364,651
Members 520,947
Posts 33,324,377
Top