Jacob rothschild: My family created Israel

Ndio maana mi huwa sikubaliani na wanaosema eti Israel ile ndio Taifa teule,taifa gani teule linafanya mauaji kwa watu majirani zao wa asili pamoja na kueneza chuki duniani kote.......hata hao wanaoitwa Waisrael walioko huko huwa sio wenyewe hao ni wazungu tu walikusanywa kupelekwa huko
Well said walahi
 
Hawa ndio wanaume sasa... Waliobaki wote Duniani ni wavulana. Kazi ya kusimika taifa la kikristo katikati ya taifa la magaidi wa kiislamu ni ya kiume kweli kweli.

Salute Rothschild family.
Kama hujui kitu ni bora uwe unakaa kimya tuu kuliko kupayuka kama hamisa,
Israel ni taifa la kiyahudi na sio kikiristo.
Huyo Yesu mwenyewe ni kinyago kwao. Wewe kwako ni Mungu
 
Hahaha wana wakristo israel wasiojua bana ujinga uo soma kwanza
Hawa ndio wanaume sasa... Waliobaki wote Duniani ni wavulana. Kazi ya kusimika taifa la kikristo katikati ya taifa la magaidi wa kiislamu ni ya kiume kweli kweli.

Salute Rothschild family.
 
Porojo za kwenye kashata
Na familia hii ndio msimamizi mkuu wa hazina ya Vatican,(km kuna mtu alikua hana habari hiyo).Na hakuna taifa lolote haya makubwa mfano USA hawezi anzisha vita yoyote duniani bila hawa jamaa kukubali. Ndio wenye fedha so kila vita lazima Vatican wakubali kwanza. Wakigeuza kisogo yaan kukataa hiyo vita inakuwa haipo.Unaweza sema ni conspiracy lkn ndio ukweli wote .Na hizi grand families ziko tano ROTHSCHILD, ROCKEFELLER, JP MORGAN et al. Wasimamiz wa bajeti nyeusi.
 
Back
Top Bottom