Jacob Matata,ana undugu kati ya Joram Kiango au Willy Gamba ?

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,298
Wengi hasa vijana wa enzi zetu zike za Ben Mtobwa na wengine,tulikuwa tukiwafuatilia sana hawa jamaa wawili Joram na Willy,ukweli ni kwamba wazee tulifaidi mengi sana,siyo kama vijana wa sasa wanabinyeza bonyeza tu simu.
Ila tuyaache hayo,hivi huyu Jacob Matata Jasusi la kimataifa lina udugu wowote na Willy Gamba au Joram Kiango ?
Wajukuu nadhani mtanisaidia sana,maana babu yenu kama vile kumbukumbu zinaanza kunipungua.
 
Mkuu nahisi hii ilitokana na namna walivyoweza kuzipika vyema kazi zao za fasihi kiasi ilikuwa ukisoma unaona kuna mambo mengi wanashahabiana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom