Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
Wana Ushahidi uchwara ambao hata sisi bush lawyers hauwezi kutushawishi.Kama mna ushahidi kweli kamuua kwanini msitoe taarifa polisi?
Wana Ushahidi uchwara ambao hata sisi bush lawyers hauwezi kutushawishi.Kama mna ushahidi kweli kamuua kwanini msitoe taarifa polisi?
Ukisikia wivu iliojaa pomoni ndio huoMna uthibitisho au wivu tu?
Ni kosa lake, wazazi au walezi,jamii inayomzunguka kwa ujumla wakeMajibu yako tu yanaonesha ni kwa kiwango gani ulivyo uncivilized...anyway siyo makosa yako.
Inawezekana ni masharti ya mganga.Hivi maisha ya wengine wewe yanakusaidia nini? Au una urithi huko?
mbaya zaidi unaibeba kichwani bila kata huku ukijikaza kiume ukilia na kuugulia ndani kwa ndani machozi yake ni yakiwa kisukari na kupunguza uwezo wa tendo la ndoaKuna wakati tunabebeshwa mizig isiyo yetu
Hivi jacky alitakiwa akarukie jeneza lisiingizwe kaburini?
usilazimishe kila mtu azimie kama wewe.Wewe unaropoka tu hivi ulishawahi Kufiwa hata na ndugu tu mliyeishi pamoja? Hakuna maumivu yasiyoelezeka kama wakati jeneza linashushwa kaburini mimi nilizimia nikazinduka wameshazika sikujua kilichoendelea
Ila kama amefanya hivyo kweli amechuma dhambi ya bure, mtu mwenyewe alishajifia yule angevuta subira kidogo tu angeondoka mwenyewe
Imelda hajafilisiwa na Kylnn. Nadhani amebadirisha biashara. Anauza maji yake ya kunywa.
Gazeti like Kuna watu walijiunga pamoja nae kuligharamia. Upepo wa uchumi ulipelekea shareholders kujitoa
humu jf kuna mijanamke mimbea na yenye roho mbaya. Shetani haoni ndaniKweli wanawake ni hatari.
"I love you crazy " Mengi (R.I.P)
Exactly bro.Kuna wakati tunabebeshwa mizig isiyo yetu