Jackton Manyerere: Tusiangalie "makandokando" ya NEC bali tumpe ushirikiano Rais Magufuli kwa nia njema aliyonayo kwa taifa hili

Mwandishi wa habari nguli nchini ambaye pia aligombea ubunge jimboni kwa baba wa taifa huko Butiama Jackton Manyerere amewataka watanzania kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Magufuli.

Akizungumza kwenye kipindi cha Kipima Joto runingani ITV Manyerere amewataka watanzania kutoangalia makandokando ya NEC bali waiangalie nia njema ya Rais Magufuli na kumpa ushirikiano ili tulete maendeleo kwa kasi.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hoja
P
 
SI WALISEMA NI TUME HURU? HAYO MAKANDOKANDO YAMETOKEA WAPI?
Wakati wa adhabu zuio kampeni Lissu nilimsikia refarii Mahela "... kuna watu wanaona wanaelea kushindwa hivyo wamepanga siku 2 kabla uchaguzi kutoa taarifa za uzushi kura feki na vituo hewa kuleta taaharuki ili kuvurunga uchaguzi...."
 
Mwandishi wa habari nguli nchini ambaye pia aligombea ubunge jimboni kwa baba wa taifa huko Butiama Jackton Manyerere amewataka watanzania kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Magufuli.

Akizungumza kwenye kipindi cha Kipima Joto runingani ITV Manyerere amewataka watanzania kutoangalia makandokando ya NEC bali waiangalie nia njema ya Rais Magufuli na kumpa ushirikiano ili tulete maendeleo kwa kasi.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Aendelee kukomaaa kuna mavyeo meeeeeengi kutoka kwa zee la kura za kwenye mabegi
 
Attachments

  • 1604723530127.png
    1604723530127.png
    186.3 KB · Views: 1
Kwa mawazo ya watu kama hawa wanaotegemewa kuhabarisha jamii basi nchi yetu inawezekana ikawa ni ya mwisho ktk IQ ya raia wake, by the way hii hii nchi kutokana na umasikini wa watu wake imepelekea kila mtu kuwa na bei yake
 
Mwandishi wa habari nguli nchini ambaye pia aligombea ubunge jimboni kwa baba wa taifa huko Butiama Jackton Manyerere amewataka watanzania kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Magufuli.

Akizungumza kwenye kipindi cha Kipima Joto runingani ITV Manyerere amewataka watanzania kutoangalia makandokando ya NEC bali waiangalie nia njema ya Rais Magufuli na kumpa ushirikiano ili tulete maendeleo kwa kasi.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!

Nyie mijitu mingine akili mlizo nazo mnazilisha bange au? IKO WAZI WAZI kwamba NCHI INAENDESHWA kwa KATIBA ilopitishwa na kuboreshwa pale ilipostahili. Sio kwa NJOZI na huenda kama ni mvuta bange, kwa bange zake bali kufuata KATIBA. Aliopo madarakani awe kafika hapo kwa kunadi SERA ... za chama chake na zikakubalika KIHALALI na walio wengi bila figisufigisu za "staili za JAMHURI ZA BANANA"

Vingenevyo ukimhusudu sana, mtafute ukanywe nae chai!
 
Wanaweza kufanya waliyofanya bila maagizo kutoka juu? Usiwe mbumbumbu ama kujifanya kuwa hivyo.
Ukweli ni kuwa aliyeuvuruga uchaguzi mkuu ni Magufuli. Yeye ndiye aliyewachagua watendaji wa NEC makada, kinyume kabisa cha katiba yetu. Yeye pia ndiye aliyetoa maaguzo kwa wakurugenzi kuwa olr wake atakayemtangaza mpinzani kuwa ameshinda.

Adui mkuhwa wa demokrasia nchini mwetu kwa sasa:
1) Magufuli
2) CCM
3) Polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwandishi wa habari nguli nchini ambaye pia aligombea ubunge jimboni kwa baba wa taifa huko Butiama Jackton Manyerere amewataka watanzania kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Magufuli.

Akizungumza kwenye kipindi cha Kipima Joto runingani ITV Manyerere amewataka watanzania kutoangalia makandokando ya NEC bali waiangalie nia njema ya Rais Magufuli na kumpa ushirikiano ili tulete maendeleo kwa kasi.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Huyo Manyerere ni mjinga wa mwisho
 
pumba tu ndio kipaji chake
 
Hii ndio nia aliyoikusudia? Atalipa yote aliyowafanyia unyama raia wasiokuwa na hatia.
IMG_20201030_193928.jpg
View attachment 1621223View attachment 1621224
 
Mwandishi wa habari nguli nchini ambaye pia aligombea ubunge jimboni kwa baba wa taifa huko Butiama Jackton Manyerere amewataka watanzania kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Magufuli.

Akizungumza kwenye kipindi cha Kipima Joto runingani ITV Manyerere amewataka watanzania kutoangalia makandokando ya NEC bali waiangalie nia njema ya Rais Magufuli na kumpa ushirikiano ili tulete maendeleo kwa kasi.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Umpe ushirikiano! Amekuomba? Yeye alichukua fomu! Mwenyewe hakukuomba kumsaidia sasa unawashawashwa nini!
 
Makandokando ya makusudi?.
Kuiba kura sio bahati mbayaaa ni mipango .
Hatuwezi kumpa ushirikiano mwizi wa kura
 
Mwandishi wa habari nguli nchini ambaye pia aligombea ubunge jimboni kwa baba wa taifa huko Butiama Jackton Manyerere amewataka watanzania kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Magufuli.

Akizungumza kwenye kipindi cha Kipima Joto runingani ITV Manyerere amewataka watanzania kutoangalia makandokando ya NEC bali waiangalie nia njema ya Rais Magufuli na kumpa ushirikiano ili tulete maendeleo kwa kasi.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Haha haha Manyerere Mzee wa kudai Whisky Ikulu....ni majira ya praise ili akumbukwe
 
Back
Top Bottom