Jackline wolper kaachwa tena?

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
63,545
112,422
Screenshot_2016-12-16-13-31-00.png

Na huwa anajua kumwaga chozi kweli kweli, shilawadu wanasema sio chozi la nchi hii.....
Kama hiyo tetesi ni ya kweli itabidi tu arudi migombani akalishe ng'ombe vijana wa mjini wana kazi ya kumfunua na kumfunika utadhani wanacheza kamari.
Behind the scene kuna nini mbona kuachwa sana......
 

Attachments

  • Screenshot_2016-12-16-13-26-29.png
    Screenshot_2016-12-16-13-26-29.png
    155.5 KB · Views: 154
Celebrity relationships kuachana ni sehemu ya breaking news kwa fans..
ngumu kudumu.....wengi hudumu wakiwa kwenye spotlight....umaruufu ukipungua
wanaachana......

Kuna wanasaikolojia waliwahi kueleza insecurities za watu maarufu
umaarufu ndo kama drugs yao....
ukipungua tu ni ngumu kwao kuwa happy na yeyote
so victim wa kwanza anakuwa mpenzi....

wanakuwa so miserable.....ndo maana kila kitu wana share...

hata akiwa anaumwa ata post yuko hospitali...

insecurities zinawasumbua
 
Huyu sasa ni lazima ajitafakari upya. pengine alifanya kosa kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya alitakiwa atafkari sababu za kukimbiwa na ajrekebishe kabla ya kuanza mengine.

Baaaa Mmakonde ndio nini kumuacha ntoto nzuri hivyo...
Huyu ntonto nzuri sijui Kale ka skendo huwa ni ka kweli make mmmh
 
kaachwa na Raj.....nikajua alivyopelekwa ndanda kuchele na kumpikia mama mkwe ndio kimeshaeleweka kumbe kijana kwake bado tu.
 
Back
Top Bottom