Ja yale mauaji yaliyofanyika Zanzibar???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nilitishwa nakusikia hili Onyo la Mnadhimu mkuu limenitia wasiwasi sana kuona jeshi la wananchi JWTZ linatoa tamko kali kama hili hapa linaacha maswali mengi hasa kwa nchi ya amani naona kama vili ccm mtaji mkuu waliobaki nao nikutumia vyombo vya dola!kwani hii intokana nakampeni zinazoendelea hazina tija!wasiwasi nilionao je machafuko yaliyotokea kule zanzibar mwaka 2000 je yaweza kutokea bara?je yakitokea hii nchi itakalika??maana wananchi wameamka kisiasa hawataki tena kuyumbishwa! je kama itakuwa hivyo baada ya terehe 30/10/2010 kutakuwepo na usalama?? kama jeshi linalousika na usalama wanchi mipakani limeamua kulinda mipaka ya majimbo yayo simamiwa na "NEC"Tanzania patakalika?JWTZ wanahusika vipi katika uchaguzi wa nchi?
 
bro unajua jeshi linamsalute amrijeshi mkuu, af pia hata jeshi lina kashfa(kumbuka ishu ya meremeta, so inabidi hapa lisapot atlist kipropaganda ili chama cha amri jeshi wa sasa kishinde na wao wazidi kua pema. manake kama sivyo sasa kikiingia chama CHA DAKTARI SLAA si watawajibishwa!
 
bro unajua jeshi linamsalute amrijeshi mkuu, af pia hata jeshi lina kashfa(kumbuka ishu ya meremeta, so inabidi hapa lisapot atlist kipropaganda ili chama cha amri jeshi wa sasa kishinde na wao wazidi kua pema. manake kama sivyo sasa kikiingia chama CHA DAKTARI SLAA si watawajibishwa!
Kwa misingi hiyo wanatwambia kwamba wapo tayari kwa lolote lile lakini chama nje ya ccm kisichukue madaraka??
 
usiwe na wasiwasi kama wewe ni msafi, lakini kama ndo kwa uchochezi huu mnaofanya hapa JF mkajidai ku-influence watu na kuleta vurugu mitaani basi chamoto kinawasubiri. YES, MTASTAHIKI KUPATA KIPIGO KAMA MTALETA FUJO KWANI NYINYI NI AKINA NANI? AU MNAJIONA SANA. VIRUNGU KWA KWENDA MBELE KAMA MTALETA FUJO AMBAZO MPAKA SASA HIVI KUNAVIASHIRIA VYA FUJO.WAIT YOU WILL SEE.
 
Back
Top Bottom