J. Mnyika: Tunajiandaa kuwafikisha Membe na Simba Mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

J. Mnyika: Tunajiandaa kuwafikisha Membe na Simba Mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samirnasri, Mar 13, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimesema kitamshita waziri wa maendeleo ya jamii sophia simba kutokana na waziri huyo kudai kwamba CDM wanafadhiliwa na baadhi ya balozi ili kuleta vurugu. Hayo yamesemwa na john mnyika alipokuwa akiongea na wanahabari. Itv-habari.
   
 2. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  John Mnyika ametangaza chama cha chadema kumshitaki Sophia Simba kwa kusema chama cha CHADEMA kinafadhiliwa na nchi za magharibi.
  Source: Habari ya usiku ITV
   
 3. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mkurugenzi wa mambo ya nje wa Chadema amesema kuwa Kurugenzi ya sheria ya Chadema inapitia kauli ya Waziri Sofia Simba kuwa Chadema inafadhiliwa na mataifa ya nje kuleta machafuko nchini Tanzania.Mh Mnyika amesema kuwa Chadema itamchukulia hatua za kisheria Waziri Simba.

  Wakati huo huo Mh.Mnyika amemtaka Waziri Membe ataje hizo balozi zinazofadhili hicho chama ili kuepusha matatizo ya kidiplomasia na ataje hicho chama ni chama gani
   
 4. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Patamu hapo
   
 5. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mh.mbunge wa jimbo la ubungo kupitia Chadema anasema wapo kwenye maanda
  lizi ya kuwapeleka mahakamani mh.Sophia simba na mh.B.Membe kwa maneno yao
  ya kiuchonganishi na propaganda dhidi ya Chadema. Source ITV saa 2 usiku huu.
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Na Membe?
   
 7. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sasa ngoma inogile, kidomodomo cha huyu mama sasa kitatulia tuli
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  atajuta...

  kila kitu kipo kuanzia human resource mpaka financial resource.

  wabunge 80*90, 000 000 = 7,200,000,000

  plus 20 000 000 000 alizosema chadema tumepewa.

  plus support ya waTZ.

  kama ana mimba 'itatoka'
   
 9. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duh!!! Tunaomba mahakama watende haki tu ili wengine waache kuropoka!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  kama ile ya arusha ya EL
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  eeehh ya BB
   
 12. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  sahihi kabisa. they better be specific to clear up the doubts
   
 13. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,205
  Trophy Points: 280
  Akishitakiwa labda atapunguza kiherehere chake, yeye na Membe wasifikiri hii kesi ni ya kumalizwa ndani tu inahusisha nchi zingine ambazo huwa ziko serious na mambo yao, Go Chadema mmewaacha kwa muda mrefu sana.
   
 14. B

  Benno JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata kama kuna tetesi vi vyema Serikali ingefanya tafiti na kutoa taarifa kamili kuliko haya matamshi.
  Enzi za mwalimu mambo yalikuwa Kimya kimya  JK usimwache kia mtu aseme badala yako tutakufa watanzania tusio na hatia
   
 15. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hv kwann huyo mpumbavu SS hafi?
   
 16. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hawajasema kama watamshitaki membe kwa kuwa hakukitaja chama cha chadema ila wamemtaka aseme ni chama gani na kinafadhiliwa na nani.
   
 17. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Wamemtaka pia Membe kufafanua na sio kubwatuka kwani itapelekea taifa ktk kutokuelewana na nchi za nje kama hatasema.
   
 18. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Safi sana.
   
 19. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  kwasababu membe hakutamka wazi chadema kama alivyotamka SS ,basi yeye ametakiwa atoe tamko ni chama gani kinahusika na nchi zipi zinahusika.
   
 20. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  'Ombea adui yako aishi siku nyingi,
  ili utakapobarikiwa ajionee kwa macho,
  Hamna haja kabisa afe kabla hajaona,
  Baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako....!'
   
Loading...