WildCard said:Ninavyofahamu kidogo kuhusu uchaguzi huu (2005), Keenja kama ilivyokuwa kwa Rita kule Kawe walisaidiwa sana na KABILA yao ambao wametapakaa sana kwenye MAJIMBO haya na wana nguvu kubwa za KIUCHUMI kuanzia mabaa, nyumba za wageni, maduka, ... Jamaa hawa inapofika kuchagua kati ya CHAMA au KABILA huchagua KABILA.