J. Makamba: Walioua viwanda wasichaguliwe

Kauli yake itakiangamiza Chama chake, maana ndo kimeshirika katika hayo mauaji kwa awamu tofauti tofauti.
 
nimeipenda kauli hii, tuitafakari.

"maendeleo ya viwanda yanahusiana na aina ya viongozi tulionao, katika uchaguzi huu chagueni vizuri, kama tukichagua viongozi walio sehemu ya waliotengeneza matatizo haya hatutapata suluhu ya tatizo" - by j makamba.

Source mwananchi jumapili uk 6.

j milloons
 
Back
Top Bottom