MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,011
- 2,181
Naomba nisikike pamoja na kwamba kuna uzi mwingine juu ya mambo ya NEMC.
Katika utumbuaji wako Mh. umekosea kuacha chanzo cha jipu. Jipu kuu kabisa ni mkurugenzi mkuu. Huyu yuko ktk mashindano ya kila siku kupata tenda za EIA kupitia makampuni yao binafsi na vijisenti vya kuwatikisa wachafuzi. Ni kupigana vikumbo na wale wa chini yake badala ya kuwasimamia. Nidhamu itoke wapi wakati taasisi wameigawana? kila mtu anatafuna anachokifikia.
Mh. Makamba, rudi NEMC umalizie jipu hili.