J. Kikwete + Salma Kikwete = $10,000 per diem, tax-free? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

J. Kikwete + Salma Kikwete = $10,000 per diem, tax-free?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndjabu Da Dude, May 21, 2012.

 1. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Bandungu, msione ajabu Kikwete na mkewe wanapiga trip 3 hadi 5 nje ya nchi kila mwezi, kwani kwa mtaji huu hata mfanya biashara mkubwa Tanzania hawezi shindana nao. Maana hapo awali tulishafahamishwa kuwa mke wake Kikwete analipwa per diem sawa na Kikwete mwenyewe: $5000 kwa siku.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu huwezi kumfananisha Rais na mfanyabiashara.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kama wanafanana je??
   
 4. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwasisi aliwahi kuonya kuhusiana na nchi tajiri yeye alipenda kuziita dola nyang'anyi! na akatoa mfano kuwa hawa si watu wa kuwa nao karibu kwani hata mbwa akiwa katika valence ya chatu atajipeleka mwenyewe kisha atamezwa tu... Kwa hizi safari za mkuu wa kaya za kila kukicha USA ... Tutasalimika? Allah Aallam
   
 5. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Kwa maana kwamba Raisi ni zaidi na pesa yake ni ya uhakika na siyo ya kuhangaikia, si ndiyo? Hoteli, Usafiri wa ndege, gari, chakula kila kitu bure, pamoja na $10,000 kwa siku bila kodi moja kwa moja mfukoni yeye na mkewe. Mfanya biashara gani anaweza kushindana na Raisi?
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sehemu niliyobold ni uongo siyo $5,000.00 per day. Cheki hiyo attachement.

  Labda huo ni mtazamamo wake tu mkuu.

  View attachment Mchanuo wa Safari ya JK Brazili..pdf
   
 7. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Ukweli ni kwamba Kikwete na mkewe wanalipwa zaidi ya $10,000 kwa siku. Hiyo attachment yako ni danganya toto tu.
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lete ushahidi mkuu na siyo maneno matupu.
   
 9. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu upo sahihi, JK ni zaidi ya mfanyabiashara, labda unaweza kumfananisha na wauza unga wa ikulu...
   
 10. Zux de

  Zux de JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kazi ipo kwa mtindo huu!
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna umuhimu gani kufuatana na mkewe?
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sasa kwanini wanashindwa kuwalipia wanao wawili walio hudhuria vyuo vikuu vya Madafu tuition fees?

  1. Rizwan - UDSM - Mlimani 1st Degree Law
  2. Rizwan sister - Muhimbili 1st Doctor's Degree
   
 13. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu Rais hazuiwi kwenda na mkewe popote, yule ni mke wake... Je, wewe ukizuiwa kutembea na mkeo utajisikiaje? Au unataka aanze kupiga nje?
   
 14. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu inawezekana 1st ledi aliweka ngumu, si unajua mambo ya mama wa kambo...
   
 15. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Nasema hivii, Kikwete, mkewe, na msafara wao wanagharamia zaidi ya $20,000 kwa siku kwa safari zao za nje. Wewe una ushahidi gani kuwa hiyo siyo kweli?
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Anaenda na mkewe na bado anapiga nje. Habari ndiyo hiyo.
   
 17. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Wanatumia si chini ya $20,000 kwa siku yeye na msafara wake kwa safari za nje, mara 3 hadi 5 kwa mwezi, halafu hakuna lolote Watanzania tunafaidika na safari zake zaidi ya kutudhalilisha na broken english yake kwenye vikao vya kisanii yeye na mke wake.
   
 18. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ndo ivo sasa ishatokea na ndo ilivyo,na ndo pakuandamana...
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wanabodi tulishakosea 2010 kwahiyo 2015 tujirekebishe
   
 20. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ee! na mimi natangaza nia.
   
Loading...