J.K nyerere air port unga umekamatwa

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Mwingine akamatwa na cocaine uwanja wa ndege wa J.K Nyerere, ni Raia wa Sierra Leone akiwa na pipi 95
 
Huyo nae boya huko JKIA n KIA noma siku hizi.. watu wanapitia naniliu
 
Ulikua unatoka au unaingia??????halafu hawa wanaokamatwa huwa wanahukumiwa?????hasa raia wa nje?????
 
Mwingine akamatwa na cocaine uwanja wa ndege wa J.K Nyerere, ni Raia wa Sierra Leone akiwa na pipi 95
hahaaaaa jamaa amechukuliwa fasta sidhani kama kweli ni 95 pekee jinsi walivyokuwa wanamuwaisha kwenye kaofisi chao

HUYU AKUTOA MGAO AMEFIKIRIANAWEZA PITA MWENYEWE

AIRPORT BILA MGAO MADAWA YATAKAMWATA KILA SIKU
 
Back
Top Bottom