Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

J.K Naombeni muendelee kuikubari serikari yetu--- Kwa LIPiiii- Hotuba kichefuchefu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duduwasha, Feb 28, 2011.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 3,342
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  J K Wacha utani nisiifuate CMD Kwa lipi nalopata kwako waambie kina EL, RA, Wavuta Unga unaowalinda hotuba yako ya leo kichefuchefu tupu sijui kwa nini nimeiskiliza kha!! eleza ukweri nchi inaenda wapi wewe leo umenionesha kazi ya uongozi huiwezi jiuzulu usiendelee kuuaibika...
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Nilijua leo atatangaza kujiuzulu.........................................
   
Loading...