J.K., Laigwenan Lowassa ni mtu muhimu kwako, asikudanganye mtu

Sasa unataka ampe nafasi gani?? kams ubunge tayari anao . ....halafu sijawahi kumsikia Jk akitamka kuwa kamtosa EL........ila niliwahi kumsikia El akitamka kuwa hawakukutana na Jk barabarani....kwamba ni zaidi ya marafiki...... ....punguza umbeya mkuu
 
Mgomo wa walimu unaofanyika nchi nzima ni ushahidi kuwa unahitaji mtu wa kukusaidia kuongoza nchi. Kwa vile haya yanayotokea sasa hayakuwepo wakati wa Lowasa je, huoni ni vizuri kumrudishia jamaa huyu mikoba yake ili akufae wakati huu mgumu?

kama mtoto wa mkulima kashindwa serikali kwa nini wasimjaribu Sitta au mtu mwingine aina ya Prof sospeter lazima Lowassa tu...au atatoa hela yake kuwaongezea mshahara hao walimu?
 
Back
Top Bottom