Hope hii Ngoma itawavusha kwenda level ingine hapa bongo
Ipo vizuri kuanzia beat,mashairi na hata video..
All the best
Izzo na Bella
Mhhh una roho mbayaHakuna ubunifu wowote.....
Alafu tatizo ni nini,mbona wssanii uwezo wao unashukuka.
WCB itaendelea sumbua saana.
Huyu sio Izzo ninaemjua...
Wasanii wengi wanadrop ,hasa wanao rap. Sasa sielewi ni singeli au WCB ndo imewavuruga.Mhhh una roho mbaya
Wasanii wengi wanadrop ,hasa wanao rap. Sasa sielewi ni singeli au WCB ndo imewavuruga.
Hope hii Ngoma itawavusha kwenda level ingine hapa bongo
Ipo vizuri kuanzia beat,mashairi na hata video..
All the best
Izzo na Bella
Hakuna kazi rahisi duniani km "KUPINGA"
Watu wenye roho iliyopakwa rangi nyeusi utawajuaHakuna ubunifu wowote.....
Alafu tatizo ni nini,mbona wssanii uwezo wao unashukuka.
WCB itaendelea sumbua saana.
Huyu sio Izzo ninaemjua...
Jamaa anafanya sana matizi, gym yake ipo kitaani sinza unalipa jero tu kwa siku.Ukweli wacha usemwe,Izzo kinacho mbeba ni muonekano Body,anajua kupangilia pamba,msafi but kwenye ishu ya music mmmhhhhh sio kivile saaanaaa,mashairi yake butu,melody zake hazivutiagi....nilimuelewa vizuri kwenye "Naongea na Riz1".kwingine kote anapitA pitA tu basi maisha yanaenda.
Wa hip hop wamechoka 'kusubiria embe chini ya mnazi'.Hii tabia ya wasanii kutaka kufanya kila kitu kama Diamond inawakost saana. Hata hawa wanaojiita wa hip hop sasa ,, badala kufocus kwenye content wanafocus kwenye video.
Pengo la Mangwea halijizibwa .