Izengo usijaribu kugombea udiwani Bugarama

Dawa ya wasaliti

New Member
Mar 22, 2018
1
1
Umesharudisha kadi na pesa za ccm umekula, sasa nenda kafanye biashara tu, ukijidanganya kuja kugombea Kama Mtulia alivyofanya kinondoni usije kusema hukuambiwa.

Tulihatarisha maisha yetu tukisakwa ili tuuawe kwa sababu ya kusimamia haki yako, leo umetugeuka kwa tamaa ya pesa huku ukiahidiwa tena kuupata udiwani kwa tiketi ya Hao ccm waliokununua.

Kama hutapata ujumbe huu basi ndugu zako au wana CCM wenzako ulikohamia wakufikishie, nenda kafanye biashara usije kujilaumu,tumechoka kuonewa sasa.
 
Chadema haina sera kwa sasa mnatapatapa tu viongozi wa chama ndo wameua chama usiwalaum wanaokihama wanaona mbali
 
Umesharudisha kadi na pesa za ccm umekula, sasa nenda kafanye biashara tu, ukijidanganya kuja kugombea Kama Mtulia alivyofanya kinondoni usije kusema hukuambiwa.

Tulihatarisha maisha yetu tukisakwa ili tuuawe kwa sababu ya kusimamia haki yako, leo umetugeuka kwa tamaa ya pesa huku ukiahidiwa tena kuupata udiwani kwa tiketi ya Hao ccm waliokununua.

Kama hutapata ujumbe huu basi ndugu zako au wana CCM wenzako ulikohamia wakufikishie, nenda kafanye biashara usije kujilaumu,tumechoka kuonewa sasa.
Mkwala mbuzi huo,acha watu wamuunge mkono rais Magufuli,kaeni na sacccos yenu,na mungu mtu wenu,mwenyekiti wa maisha Mbowe
 
Back
Top Bottom