Iyumbu, Dodoma: Rais Magufuli aagiza ardhi iliyotengwa na Serikali ili kuzika Viongozi kurudishwa kwa wananchi. Asema yeye atazikwa Chato

"Yaani nije nizikwe kabisa hapa kwa wagogo halafu waanze kuchezea hapo na fisi zao!"

Mwendazake bana ha ha ha
 
Wadau nawasalimu.

Nadhani mtakumbuka wakati serikali ya awamu ya 5 ipo madaraka na ilipokuwa inahamia dodoma rais magufuli alitangaza kuwa serikali imetenga eneo kwa ajili ya kuwazika viongozi wa kitaifa pindi watakapo kuwa wamefariki.

Mungu sio athumani Magufuli akawa kiongozi wa kwanza kufariki baada ya tangazo hilo, lakini cha ajabu baada ya kufa kwake serikali ilianza mchakato wa kwenda kumzika kijijini kwao Chato badala ya Dodoma ambapo Magufuli alitenga eneo kwa ajili ya kuwazika viongozi na yeye akiwemo.

Je, ni kwa nini rais Magufuli hakuzikwa kwenye eneo la viongozi Dodoma?
 
Kwanini Mkapa, kwanini Nyerere, na wengine wengi? Nadhani ukiacha nafasi ya wao kuwa viongozi wana familia, na nyumbani kwao.
 
Wadau nawasalimu.

Nadhani mtakumbuka wakati serikali ya awamu ya 5 ipo madaraka na ilipokuwa inahamia dodoma rais magufuli alitangaza kuwa serikali imetenga eneo kwa ajili ya kuwazika viongozi wa kitaifa pindi watakapo kuwa wamefariki.

Mungu sio athumani Magufuli akawa kiongozi wa kwanza kufariki baada ya tangazo hilo, lakini cha ajabu baada ya kufa kwake serikali ilianza mchakato wa kwenda kumzika kijijini kwao Chato badala ya Dodoma ambapo Magufuli alitenga eneo kwa ajili ya kuwazika viongozi na yeye akiwemo.

Je, ni kwa nini rais Magufuli hakuzikwa kwenye eneo la viongozi Dodoma?
Hivi unaishi Tanzania na kufuatilia mambo muhimu? Mbona hii aliifuta mwenyewe Magufuli alipokuwa Rais? Na ilipitishwa Bungeni tena? Na alifanya reference kuwa kama Baba wa Taifa kazikwa kwao kwa nini wengine wazikwe Dodoma? Na ikaendeleze kwa Mkapa na yeye pia? Mbona hukuuliza kwa nini Marehemu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu alizikwa Lupaso? Tena huko hakuna hata maendeleo maana hakutumia rasilimali kujengea kwao kwa upendeleo kama alivyofanya Marehemu Magufuli.

Tujitahidi kufuatilia habari muhimu ili kuepuka thread kama hizi.
 
Hili alishalisema yeye mwenyewe muda tu. Labda hukufuatilia hotuba zake .
 
Angeunajisi mkoa wa Dodoma

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mkuu usipate shida utazikwa wapi au ndani ya mkoa gani. Kumbuka wapo binadamu wanaoliwa na wanyama wa porini kama Simba. Yesu akirudi mara ya pili, Waliomwamini wote watafufuliwa katika ufufuo wa kwanza. Wengine waliokataa kumwamini Yesu watafufuliwa baada ya miaka 1000 kupewa adhabu . Soma Biblia katika 1 Wathesalonike 4:13-14 na Kitabu cha Ufunuo 20:1-5
 
Wadau nawasalimu.

Nadhani mtakumbuka wakati serikali ya awamu ya 5 ipo madaraka na ilipokuwa inahamia dodoma rais magufuli alitangaza kuwa serikali imetenga eneo kwa ajili ya kuwazika viongozi wa kitaifa pindi watakapo kuwa wamefariki.

Mungu sio athumani Magufuli akawa kiongozi wa kwanza kufariki baada ya tangazo hilo, lakini cha ajabu baada ya kufa kwake serikali ilianza mchakato wa kwenda kumzika kijijini kwao Chato badala ya Dodoma ambapo Magufuli alitenga eneo kwa ajili ya kuwazika viongozi na yeye akiwemo.

Je, ni kwa nini rais Magufuli hakuzikwa kwenye eneo la viongozi Dodoma?
Kila mtu azikwe kwao. Siku akibainika kuwa na dosari itakuwaje, atahamishwa.
 
Hivi unaishi Tanzania na kufuatilia mambo muhimu? Mbona hii aliifuta mwenyewe Magufuli alipokuwa Rais? Na ilipitishwa Bungeni tena? Na alifanya reference kuwa kama Baba wa Taifa kazikwa kwao kwa nini wengine wazikwe Dodoma? Na ikaendeleze kwa Mkapa na yeye pia? Mbona hukuuliza kwa nini Marehemu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu alizikwa Lupaso? Tena huko hakuna hata maendeleo maana hakutumia rasilimali kujengea kwao kwa upendeleo kama alivyofanya Marehemu Magufuli.
Tujitahidi kufuatilia habari muhimu ili kuepuka thread kama hizi.
ALIYETOA WAZO HILO NI MAGUFULI mwenyewe nilitegemea angemzika Mkapa kisha nae Akazikwa
 
Mkuu usipate shida utazikwa wapi au ndani ya mkoa gani. Kumbuka wapo binadamu wanaoliwa na wanyama wa porini kama Simba.Yesu akirudi mara ya pili, Waliomwamini wote watafufuliwa katika ufufuo wa kwanza. Wengine waliokataa kumwamini Yesu watafufuliwa baada ya miaka 1000 kupewa adhabu . Soma Biblia katika 1 Wathesalonike 4:13-14 na Kitabu cha Ufunuo 20:1-5
Unamwambia Magufuli au mimi? Kumbuka mimi sio kiongozi niliyetakiwa kuzikwa kwenye eneo la Viongozi
 
Watu waliahidi kwenda knya pale, naona nduguze wakaona isiwe shida kufanya usafi Kila siku. Halafu na wenzake walimfanyia ibada usiku wa manane, lazima angezikwa nyumbani.
 
Hayo ndo mawazo ya kijinga! Kwahyo angezikwa Dodoma tungefaidka nini kama taifa?? Mtu akishakufa acheni apumke msianzshe mada uchwara while Tanzania ina shida kibao za kutatua
 
Back
Top Bottom