Iyumbu, Dodoma: Rais Magufuli aagiza ardhi iliyotengwa na Serikali ili kuzika Viongozi kurudishwa kwa wananchi. Asema yeye atazikwa Chato

Bod upo? Unaona jamaa anavypigwa makofi bila chenga. Duh! Tuwe tunamwomba MUNGU anatupa maneno ya kuongea jamani. Duh!

Anasema " Nimekuchapa kwa uwazi" Duh!
Hahahaaaaa Mchechu anapigwa makavu hapa anacheka tuu, mh hacheki na nyani hapa
Mimi nipo hapa na ni lazima niwepo sitaondoka napenda sana speech za Rais wangu
 
Mkurugenzi wa nyumba zipi hebu ongezea nyama kwenye taarifa yako

Ova
 
Habari wanabodi!

Nilikuwa naangalia hapa Mradi wa Ufunguzi wa Nyumba wa Iyumbu ambao ulikuwa unafanywa na Mh. Raisi.

Nimeona yale maji ambayo yanatumika pale yapo kwenye chupa ila haionyeshi kama ni Product ya Kilimanjaro, Uhai, Dasani, Udizungwa n.k.

Wajuvi wa mambo tafadhali naomba mnijuze kwa nini yale maji hayana lebo ya kuonyesha mzalishaji?

Nawasilisha
 
Huenda yana Expansion lebo ambayo kwa hapo haikuonekana maana ilikuwa inaruhusu maji yapumue
 
Naunga mkono Rais kuzinduwa nyumba hizi.

Lakini azikaguwe na awaulize bei za hizo nyumba ninaamini atazimia.

Tunamsubiri azinduwe na zile za Pspf kule Buyuni Chanika, ule ni wizi na ujambazi wanafanyiwa Watanzania, nyumba ya millioni 20 Mtanzania anakamuliwa millioni 80, na ukikopa riba inafika millioni 200.

Mheshimiwa Rais ukiweza kuwashughulikia hawa wahuni na mimi niandalie kadi ya kujiunga na ccm ya Magufuli.
Kwa kweli umeongea jambo la msingi sana.
 
Habari wanabodi!

Nilikuwa naangalia hapa Mradi wa Ufunguzi wa Nyumba wa Iyumbu ambao ulikuwa unafanywa na Mh. Raisi.

Nimeona yale maji ambayo yanatumika pale yapo kwenye chupa ila haionyeshi kama ni Product ya Kilimanjaro, Uhai, Dasani, Udizungwa n.k.

Wajuvi wa mambo tafadhali naomba mnijuze kwa nini yale maji hayana lebo ya kuonyesha mzalishaji?

Nawasilisha
Kwa sababu Rais hajakwenda kufanya tangazo la biashara.
 
Rais wangu bana. Sasa kama eneo lilitengwa kwa sheria No. 1 ya 2006, si inabidi hiyo sheria itenguliwe na bunge hilo hilo? Sasa atatenguaje sheria kwa maneno?

Napita tuu waungwana!
 
Back
Top Bottom