Ndio binadamu nature yetu, sio lazima wote tupate huduma kwa kiwango sawa, angalia huduma zote kwa Binadamu kuna Classes, Nenda Air Port, Railway Station, hospitalini na hata Shule Mradi wa DART utenge baadhi ya Mabasi kadhaa yasiozidi 30 kwa class ya juu / V.I.P, nauli kama ni 2000/= mbezi - Posta sawa tu, na ndio inayolipwa kila siku na wakazi wengi wa maeneo hayo hadi Kimara si kwa sababu ya uhaba wa usafiri (asubuhi na jioni), watu wengine hawataki bugudha na kelele.
Jirani kenya Mabasi HOOPERS utoa huduma hiyo , pia hii itasaidia maboss wengi kuacha Magari Nyumbani na kupunguza Traffic Jam/ Foleni, Ila Guarantee iwe kwenye Usafi, usalama na Level seat tu.Huduma hii ya V.I.P itasaidia mradi kusurvive, hutaki usipande Bus, unataka Twende.
Yaliobaki ya 500/= tuendelee kugombania kupitia Madirishani
HUO NDIO UKWELI