Iweje ujenge Hotel ya nyota 5 halafu ukose Mkakati wa kimasoko?

IamHumble

Senior Member
Dec 4, 2016
137
42
Habari zenu wakuu?

Moja ya vitu vinavyonishangaza ni Wawekezaji kwenye Sekta ya Hospitality hasa hotelia, mtu anawekeza kwny ujenzi wa Hoteli kubwa au kupangisha ghorofa zima la PSPF lakini hana wataalamu wa ku-market hiyo biashara hasa kimataifa.

Hawa watu huwa wanawaza nn?
 
Wafanya biashara wengi wakishashika pesa, hawatambui umuhimu wa wasomi katika kada kadhaa ikiwepo Wachumi; Ukiona anawathamini ujue ni kwa mujibu wa sheria..na hata wakiwatumia huwa wanawaingilia sana ilihali hawajui...ila wakianguka ndo huanza kutafuta watalaamu...
 
Mhe Tambua kuwa Dunia kwa ujumla wake ni DYNAMIC unaweza fanya strategy zako zoote , feasibility study , due diligence, coast effective analysis , vyoote vikaonyesha mafanikio, KUMBUKA HUTAZUIA MABADILIKO YA DUNIA yasitokee mfano nani angejua TRUMPH au MAGUFULI angeshinda ?
 
Habari zenu wakuu?

Moja ya vitu vinavyonishangaza ni Wawekezaji kwenye Sekta ya Hospitality hasa hotelia, mtu anawekeza kwny ujenzi wa Hoteli kubwa au kupangisha ghorofa zima la PSPF lakini hana wataalamu wa ku-market hiyo biashara hasa kimataifa.

Hawa watu huwa wanawaza nn?
wewe hadi kutaka mwanamke akulee halaf wew ni mtoto wa kiume huwa unawaza nini kwani?
 
Iweje ununue Kivuko Cha Bagamoyo - Feri kwa bil 5 alafu kisifanye kazi hata siku moja?
 
Back
Top Bottom