Iwe mnvua, iwe jua: CHADEMA kamwe msije kumpokea Dr.Slaa kwani 2020 anaweza kuja kuwageuka

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Tangu Lowassa arudi CCM siku ya jana,kumekuwa na hoja za kusema eti Dr.Slaa sasa arudi CHADEMA kwani Lowassa amerudi alikotoka.

Ndugu zangu wapenda mabadiliko,nawaonya kamawe msikubali wazo hili kwani unaweza kufanyika mchezo mchafu wa huyu bwana kurudi CHADEMA alafu ikifika 2020 arudi tena CCM huku akiitaja sababu kibao za kuondoka tena CHADEMA.

Dr.Slaa angekuwa na msimamo wa kuikataa CCM,kamwe asingeipigia debe CCM mwaka 2015 bali angehamia chama kingine cha siasa au kupumzika siasa na si alichokifanya.

Kwa siasa za nchi hii, kila kitu kinawezekana yakiwemo yasiyowezekana.
 
Mamluki tu huyo
Screenshot_2019-03-02-15-51-19.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu Lowassa arudi CCM siku ya jana,kumekuwa na hoja za kusema eti Dr.Slaa sasa arudi CHADEMA kwani Lowassa amerudi alikotoka.

Ndugu zangu wapenda mabadiliko,nawaonya kamawe msikubali wazo hili kwani unaweza kufanyika mchezo mchafu wa huyu bwana kurudi CHADEMA alafu ikifika 2020 arudi tena CCM huku akiitaja sababu kibao za kuondoka tena CHADEMA.

Dr.Slaa angekuwa na msimamo wa kuikataa CCM,kamwe asingerudi CCM mwaka 2015 bali angehamia chama kingine cha siasa au kupumzika siasa na si alichokifanya.

Kwa siasa za nchi hii, kila kitu kinawezekana yakiwemo yasiyowezekana.
Wewe jamaa unachekesha kweli yaani Dr slaa arudi Chadema wakati ana keki mdomoni...! Hiyo kitu sahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi waliorudi CCM kimsingi wameangalia maslahi yao zaidi. Binadamu kwa asili ni mbinafsi na linapokuja suala la maslahi yake binafsi na familia yake kutishiwa, anaweza kufanya lolote. Sidhani kama Dr. Slaa anaweza kutamani kurudi CHADEMA
Soma katikati ya mistari!
 
Tangu Lowassa arudi CCM siku ya jana,kumekuwa na hoja za kusema eti Dr.Slaa sasa arudi CHADEMA kwani Lowassa amerudi alikotoka.

Ndugu zangu wapenda mabadiliko,nawaonya kamawe msikubali wazo hili kwani unaweza kufanyika mchezo mchafu wa huyu bwana kurudi CHADEMA alafu ikifika 2020 arudi tena CCM huku akiitaja sababu kibao za kuondoka tena CHADEMA.

Dr.Slaa angekuwa na msimamo wa kuikataa CCM,kamwe asingerudi CCM mwaka 2015 bali angehamia chama kingine cha siasa au kupumzika siasa na si alichokifanya.

Kwa siasa za nchi hii, kila kitu kinawezekana yakiwemo yasiyowezekana.
Kwani wote hao unaowataja nyumbani kwao ni CCM,Slaa arudi asirudi asili ya nyumba yake ni CCM na hata huyo mbowe hakuzaliwa chadema kakuta asili ya CCM swali la kujiita mpinzani ni kukiuka asili yake ipo siku nae atarudi ktk asili yake yaani ni kama mauti tumeumbwa kwa udongo mwisho wa siku lazima turudi huko,na na waongozao vyama vya Leo wote asili ni CCM watajiita wapinzani mwisho wa siku wanarudi nyumbani tega macho na masikio utaproove ninachokwambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu Lowassa arudi CCM siku ya jana,kumekuwa na hoja za kusema eti Dr.Slaa sasa arudi CHADEMA kwani Lowassa amerudi alikotoka.

Ndugu zangu wapenda mabadiliko,nawaonya kamawe msikubali wazo hili kwani unaweza kufanyika mchezo mchafu wa huyu bwana kurudi CHADEMA alafu ikifika 2020 arudi tena CCM huku akiitaja sababu kibao za kuondoka tena CHADEMA.

Dr.Slaa angekuwa na msimamo wa kuikataa CCM,kamwe asingerudi CCM mwaka 2015 bali angehamia chama kingine cha siasa au kupumzika siasa na si alichokifanya.

Kwa siasa za nchi hii, kila kitu kinawezekana yakiwemo yasiyowezekana.
Lini Dr.Slaa alirudi CCM? Ungesema CDM wawaombe radhi Watanzania ningekuelewa. Dr. Slaa amestaafu siasa za vyama au hili Ni gumu kwelikweli kueleweka. Sasa hivi Ni mtumishi wa serikali.
 
Balozi aje kugombaniana ruzuku hapo Ufipa?!!...... Wewe unachekesha kweli!
 
Lini Dr.Slaa alirudi CCM? Ungesema CDM wawaombe radhi Watanzania ningekuelewa. Dr. Slaa amestaafu siasa za vyama au hili Ni gumu kwelikweli kueleweka. Sasa hivi Ni mtumishi wa serikali.
Hata baadhi ya walio wanasia leo hii waliwahi kuwa watumishi wa umma.
 
Back
Top Bottom