Iwapo Sabaya atasema mbele ya Mahakama kuwa alitenda yote yale kwa maelekezo kutoka kwa mamlaka ya uteuzi wake. Je, nini kitatokea ndani ya chama?

Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno.

Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za mkuu wake wa nchi nani atamsakama tena?
Hata aseme nini,atahukumiwa kwa conscience yake,mkuu wako akikutuma uovu unakataa
 
Na mafuta nayo aliwasiliba watu kwa maelekezo kutoka kwenye mamlaka? Kwamba mamlaka ingemwambia kunywa sumu au kuanzia sasa usiwe unavaa nguo angetii?
 
... nakumbuka kuitaja mamlaka ya uteuzi kuliwahi kutokea pia kwenye kesi ya Prof. C. Mahalu balozi wa zamani wa Tanzania nchini Italia kuhusiana na sakata la ununuzi wa nyumba ya ubalozi, Rome.

... akijitetea mahakamani alimtaja Rais Mkapa kuwa ndiye aliyemtuma na Mkapa alifika mahakamani kutoa ushahidi; in fact (Mkapa by then former president) alikubali "kuwa na taarifa zote" na kesi ikaishia pale.

... kwa sakata la Sabaya, mwenye taarifa zote hayupo tena ila kwa ushahidi wa mazingira inaonesha kuna mtu mzito alikuwa "anafahamu kila kitu". Itabidi mahakama "iamue kwa busara" maana shahidi muhimu hayupo. Sabaya akimweka wakili mahiri mithili ya Tundu Lissu hii case anachomoa kabla watoto hawajapata break ya asubuhi.
Madeni yake je ...? Pesa amepora lwa bunduki....ujambazi pia alitumwa ?
 
Yaani mkuu was nchi anamtuma mtu kubaka?

Acheni siasa basi

Hata kama nilikuwa sikubsliani na utawala wa jiwe but ukweli ni kwamba hawezi kumtuma kulawiti na kubaka.

..anaweza kuwa alitumwa kubaka au kulawiti wapinzani.
 
Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno.

Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za mkuu wake wa nchi nani atamsakama tena?
Don't be daft. Hakuna mamlaka inayoelekeza ujilimbikuze mali kwa kuiba na kuvunja maduka ya watu. A crook is a crook is a crook, mwache abebe msalaba wake.

Wachana na traitors wetu wanaojiita wanamageuzi. Sabaya has nothing to do with "mamlaka ya Rais ni makubwa mno". Rais ni Rais, they don't grow on trees. Rais Biden katoa Executive Orders kufuta maamuzi ya mtanguluzi wake Trump kuruhusu washindani wao China na India kunufaika climate change accords za Paris. Ni sawa na tundulissu angeshinda awarudishie makanikia yao, au nyalandu angeshinda aruhusu kusafirisha twiga nguchiro na fisi wa Ngorongoro kwenye ndege kwenda Arabuni. Rais wa Ufaransa ana madaraka makubwa, ndiye anayeshikilia makoloni yote Afrika Magharibi kwa nguvu za kijeshi, tena nuclear. Pia kuna Malkia wa Uingereza yeye ana kitengo cha James Bond kuwaua wasaliti wowowore wakati wowote kokote waliko.
 
Hauko serious, kuwa aliamriwa apokee rushwa, aliamriwa apore kwa kutumia silaha, aliamriwa atakatishe fedha? Kwa hiyo tutegemee kuwa hayo yalikuwa maelekezo kwa wakuu wa wilaya wote? Kama siyo hivyo iweje yeye?

Nasikia pia kuna tuhuma ya "kula jicho".

Huyo ataachiwa tu kwani aliyemtuma na kumkingia kifua kufanya hayo maovu ambaye alipaswa kuwa shahidi namba moja kaendazake.
 
Use you brain.
Rais anaweza kumtuma mhuni akampore mwananchi 90m?
Rais anawezaje kumtuma mtu akanyanganye simu Aina ya TECNO?

Hayo yatakwenda kuthibitishwa mahakamani kujua kama kweli alitumwa au hakutumwa na Rais.

Rais huyo unayemtetea si yule aliyemtaka waziri wake wa maji ikiwezakana AVUTE BANGI kwa siri ili awe mkali katika kutekeleza majukumu yake ya uwaziri??!!

Tunashindwaje kuamini kwamba huyo Sebaya naye aliagizwa avute ili atekeleze majukumu ya UDC??
 
Utetezi wa kijinga namna hii hakuna mahakama itakayoukubali. Kwanza atakuwa na ushahidi gani kuonyesha utetezi kama huu? Barua kutoka juu ikimwelekeza afanye a,b,c? Amri ya mdomo? Nani atakubali utetezi wa kijinga namna hii?

Kwani amri na Maagizo yote wanayopewa Ma RC na maDC kutoka kwa Rais huwa wanaandikiwa barua??
 
Madeni yake je ...? Pesa amepora lwa bunduki....ujambazi pia alitumwa ?

Je, na yule aliyeenda kuvamia CLOUDS FM kwa mtutu wa bunduki unasemaje??.

Je hukumbuki kwamba ni Mwendazake ndiye aliyewapatanisha Mvamizi na yule mwenye kituo??---- hapo unajenga picha gani??
 
Hayo yatakwenda kuthibitishwa mahakamani kujua kama kweli alitumwa au hakutumwa na Rais.

Rais huyo unayemtetea si yule aliyemtaka waziri wake wa maji ikiwezakana AVUTE BANGI kwa siri ili awe mkali katika kutekeleza majukumu yake ya uwaziri??!!

Tunashindwaje kuamini kwamba huyo Sebaya naye aliagizwa avute ili atekeleze majukumu ya UDC??
Well said.
Lakini Sabaya kila siku huko Kisongo ndiye anaye okota sabuni ikianguka chini wakati wanaoga.
 
Hauko serious, kuwa aliamriwa apokee rushwa, aliamriwa apore kwa kutumia silaha, aliamriwa atakatishe fedha? Kwa hiyo tutegemee kuwa hayo yalikuwa maelekezo kwa wakuu wa wilaya wote? Kama siyo hivyo iweje yeye?
Umeona eenhh??
 
Je, na yule aliyeenda kuvamia CLOUDS FM kwa mtutu wa bunduki unasemaje??.

Je hukumbuki kwamba ni Mwendazake ndiye aliyewapatanisha Mvamizi na yule mwenye kituo??---- hapo unajenga picha gani??
Makonda asahau ajira serikalini ajipange kujiajiri.....ananuka damu za binadamu
 
Back
Top Bottom