Iwapo Sabaya atasema mbele ya Mahakama kuwa alitenda yote yale kwa maelekezo kutoka kwa mamlaka ya uteuzi wake. Je, nini kitatokea ndani ya chama?

Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno.

Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za mkuu wake wa nchi nani atamsakama tena?

Pamoja na mamlaka alionayo Rais sijawahi kuona kama Mahakama itashindwa kuhamua.
 
Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno.

Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za mkuu wake wa nchi nani atamsakama tena?

Ataambiwa amwite atoe ushahidi😂. Ni uninga yeye sio Raisi 😂. Raisi alikuambia ukaue mtu na wewe ukafanya bado kisheria utahukumiwa kunyongwa labda huyu Raisi akupe msamaha baada ya kuhukumiwa
 
Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno.

Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za mkuu wake wa nchi nani atamsakama tena?
Siyo suala la kusema tu, je ana uthibitisho?
 
Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno.

Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za mkuu wake wa nchi nani atamsakama tena?
Inabidi aseme hivyo ili ajiokoe.
Lakini ninahisi hatapewa hiyo nafasi.
Ila nashindwa kuelewa kuwa alibaka wanawake kumfurahisha boss?
 
Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno.

Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za mkuu wake wa nchi nani atamsakama tena?
Utetezi wa kijinga namna hii hakuna mahakama itakayoukubali. Kwanza atakuwa na ushahidi gani kuonyesha utetezi kama huu? Barua kutoka juu ikimwelekeza afanye a,b,c? Amri ya mdomo? Nani atakubali utetezi wa kijinga namna hii?
 
huyu jamaa alichukua mil40 kwa tajiri flani na akatoa maelezo hayo hayo kwamba jiwe kamtuma,
baada ya muda alirudi tena palepale akataka apewe 80mil kwa kauli ile ile kwamba mzee kanituma...

jamaa safari hii akahtuka akamwambia subiri kwanza nitakuita...

huyu tajiri akampigia tajiri mwenzake ambae ana access moja kwa moja kwa jiwe.jamaa akamvutia jiwe uzi kumuuliza vipi umemtuma dogo kwa mtu flani achkue mpunga??!!!!

jiwe akamjibu mi sijamtuma na wala sitakuja kumtuma achukue pesa sehemu!

ikaisha hivyo na ajabu dogo hakurudia kile kimango tena!!

alisikika huyu tajiri akiongea..
hii story kama naisikia flani hivi. ndio ile baadgi ya wenzake walikamatwa na taasis moja maarudu hapa bongo akanusurika yeye
 
Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno.

Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za mkuu wake wa nchi nani atamsakama tena?
Huo itakua ni utetezi mfu, SABAYA ni mtu mzima na ana akili timamu ya kutambua jema na baya , kwa maagizo yoyote kutoka juu ambayo aliona yanakiuka haki za binadam na kufunja sheria za nchi angejiuzulu au kuachia ngazi , so far aliamua kutenda basi alinya kwa makusudi, na vipi Kama angeagizwa avue nguo atembee uchi km kumi angefanya?

Pili hata Kama maagizo yalikua yanatoka je ni yote, kwamba kata masikio,lawiti, piga watu misumali, SABAYA ,SABAYA kiroho nilisha kufuta ila nakufuta tena , hata baada ya kifungo kifo Chako utaangaika sana
 
Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno.

Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za mkuu wake wa nchi nani atamsakama tena?
Hayo aliyofanya yapo kwa job description yake UDC.

Kwamba aliagizwa kubaka na kulawiti na rais.

Kwamba aliambiwa apore watu hela kwa mtutu wa bunduki.

Kwamba mamlaka ya uteuzi ilimwagiza kuhifadhi mabilioni ya know fedha nyumbani ambayo chanzo chake hakieleweki!

Unataka kutuambia Sabaya hana akili timamu hadi aagizwe kufanya uovu na akubali

Aliyetenda jinai ni Sabaya si mamlaka ya uteuzi.
 
Serikali haikai upande mmoja na losers hata siku moja; watakuruka mpaka mwenyewe utashangaa! Serikali ikitaka ufanye ujinga kwa niaba yake, hawaandiki barua; ili mambo yakiharibika, msalaba ubebe wewe mwenyewe
 
Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno.

Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za mkuu wake wa nchi nani atamsakama tena?
Atapaswa athibitishe beyond reasonable doubt
 
Aliyemteua miaka mitano hajui kinachoendelea kwa mteule wake ? Naamini alimtuma Kama hakumtuma alijua kinachofanyika , si unajua PDB , Presidential daily Briefing ina kila kitu kila asubuhi . Anyway awe alitumwe amejituma imekula kwake .
 
Wanamageuzi wote wa ndani ya nchi wanasema kuwa RAIS wa nchi hapingwi na mamlaka yake ni makubwa mno.

Iwapo komredi SABAYA atasema pasi na shaka mbele ya mahakama kuwa alifanya vile kwa amri za mkuu wake wa nchi nani atamsakama tena?
Anatakiwa kuthibitisha tu na akiweza atakuwa hana kesi ya kujibu.
 
Magufuli ameaharibu sana ndoto za maisha ya siasa kwa vijana wengi. BASHITE yupo yupo tu baada yakutumika kuua watu.
Na wale aliowanunua kama kuku sokoni, wamepoteza muelekeo.
 
Back
Top Bottom