Iwapo nitaota ndoto ya pili, basi jambo hili litakuwa na uhalisia...

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Hivi majuzi nilipata ndoto mbaya sana na nimekuwa nikiwaza kwa siku kadhaa... Kwa sasa nimeiweka hiyo ndoto kuwa siri yangu nikijisemea, Any way, huenda haya ni mawazo yangu tu...
Ikitokea nikaota ndoto kama hiyo tena kwa mara nyingine nitajua ina uhalisia na nitawaomba wana JF mfunge na kuomba maana jambo hili ni zito sana...
Some people might be in serious trouble with the Lord, and the only thing we can do is intercession through prayers... When you say, serious trouble these are the matter which involves some people's well being or livelihood!
 
Back
Top Bottom