Elections 2010 Iwapi forum ya ccm?

Status
Not open for further replies.

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Kumekuwa na tuhuma za mara kwa mara kwamba kwamba JF is of special interests, sometimes for some people, institutions, political parties etc. Watu kama Mengi, Zitto na hata JK wamewahi kutajwa kwamba wanapendelewa na mods wa JF. That has been to the political parties as well especially CHADEMA and CUF.

Toka zamani membaz kama kada mpinzani, Masatu, Mtanzania, Sauti ya umeme etc. walijitambulisha kama aidha wanachama wa CCM au supporters wa CCM na walikuwa wakisimamia hoja as to why CCM is better than the opposition. Some other members have alwayz been into the opposition regardless of who carries the day.

Kikubwa kilichonifanya nianzishe hii thread ni mwenendo wa tuhuma uliojitokeza hapa JF katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Kwanza kabisa kumekuwa na influx ya new members which is good for a forum anywayz. Lakini pia kumeibuka tabia kwamba ukiwa against CCM basi wewe ni CHADEMA, kama humpendi JK wewe CHADEMA, na mwisho kabisa kwamba JF ni ya CHADEMA.

Sasa kinachonishangaza ni kwamba hawa wanaotuhumu JF ni ya CHADEMA hawatuelekezi ni wapi ilipo forum mbadala. Forum say ya CCM, mahali ambapo CCM ndiyo wanadominate, wanakata hoja na wanakaribisha mtanzania yeyote kuja kutoa hoja zake regardless ni kutoka chama gani.

CCM kama chama kikongwe na chenye matawi dunia nzima (UK, Marekani, tumeambiwa lingine litaanzishwa Jamaica) lazima kitakuwa na hiyo forum na kwa sababu the world never sleeps hivyo basi hiyo forum ya CCM itakuwa pia macho muda wote mijadala ikikatwa jua kuchwa jua kuchwea. On top of that director wa IT wa kampeni za CCM ni proffessor kwa hiyo ni rahisi kutekeleza hili. Pia kitemgo hicho cha IT cha CCM mwaka huu kimepewa uzito wa juu kiasi kwamba kimekodiwa jengo zima la ghorofa maeneo ya Upanga kuendeshea shughuli zake. Jengo hilo ni zaidi ya mara tatu ya lile alilopo Mkurugenzi mkuu wa Kampeni ndugu Kinana.

Hivyo basi tunaomba tuelekezwe huko kwenye forum ya CCM or else this nonsense of potraying JF to be owned or an affiliate of CHADEMMA should be immediately stopped.

Nawakilisha.
 
Hata ingekuwepo hiyo forum ya CCM, nani aende? ili iweje kwanza? Wataenda wenyewe mazumbe na watu wanaofaidika na current food chain.

Mti wenye matunda matamu (insert JF) ndio wa kwanza kutupiwa mawe ati?
 
Uchaguzi ni wako, nchi ni yako, kura ni yako, amua moja, Kulia ama Kushoto.
 
Akili na mbinu zao bado ziko 1977...hawawezi kuwa na Furum kwa kuwa wakati huo hakukuwa na Forums bali mizengwe tu
 
Wanachanganya habari, nina hakika kwamba JF si ya chadema wala kwa ajili ya chadema, ni forum huru isipokuwa tuliyomo humu wengi tunapenda mabadiliko na tumeamua kuupinga ufisadi ndo maana wanatuongopea, kwa sisiemu nadhani wazalendo forum ingawa si ya ccm ila wanaforum wengi wanaipenda sisiemu na waeamua kushiriki katika kuendelea kuiharibu nchi kwa kuukumbatia ufisadi!
 
Kikubwa kilichonifanya nianzishe hii thread ni mwenendo wa tuhuma uliojitokeza hapa JF katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Kwanza kabisa kumekuwa na influx ya new members which is good for a forum anywayz. Lakini pia kumeibuka tabia kwamba ukiwa against CCM basi wewe ni CHADEMA, kama humpendi JK wewe CHADEMA, na mwisho kabisa kwamba JF ni ya CHADEMA.

Hivi wewe hujaona mwenendo wa tuhuma "uliojitokeza hapa JF katika kipindi hiki kuelekea uchauguzi" ambapo kila asiyekubaliana na Chadema ni FISADI ama CCM? Sasa cha kushangaa nini?

Hivyo basi tunaomba tuelekezwe huko kwenye forum ya CCM or else this nonsense of potraying JF to be owned or an affiliate of CHADEMMA should be immediately stopped.

Omba basi na hizo nonsense zingine pia ziwe stopped with immediate affect!
 
Hivi wewe hujaona mwenendo wa tuhuma "uliojitokeza hapa JF katika kipindi hiki kuelekea uchauguzi" ambapo kila asiyekubaliana na Chadema ni FISADI ama CCM? Sasa cha kushangaa nini?

Omba basi na hizo nonsense zingine pia ziwe stopped with immediate affect!

Kwa hiyo unataka kusema it's squared?
 
Kama hizi forum huwa zinaongeza kura, mngekuwa na sababu za kulia LAKINI mmhhh come Oct 31, maumivu yanakuja kama kawa! Teh teh teh!
 
Kama hizi forum huwa zinaongeza kura, mngekuwa na sababu za kulia LAKINI mmhhh come Oct 31, maumivu yanakuja kama kawa! Teh teh teh!

Kama kulia ni wewe na wenzio mkishindwa hoja basik nik name calling na kutuhumu jukwaa lililokupa nafasi ya kutoa maelezo yako!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom