Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,321
- Thread starter
- #21
Ndugu uko sahihi, ila tukumbuke english sio lugha yetu ya kwanza. Sasa badala ya kujadili hoja tunaangalia kama mtu kapatia kuandika english na kukosoana?? IQ ya mtu haihusiani na kujua lugha..anaweza kuwa fit kwenye idara nyingine na sio lugha. Wengine hata kikwenu hamjui...
bwn Leonard,uyu ndugu eti mchango wake ni kusahihisha lugha,bahati mbaya alikaririshwa akidhani kujua tensi ndo lugha,iyo runned iko concorted from 'runner up' . Najua weledi hawakuoji ila uyu mjua lugha ndo anaangaika kuona lugha yake imechakachuliwa!