Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,018
- 1,606
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Patrick Achi amewasilisha barua ya kujiuzulu kwake na kwa Serikali yake.
Rais Alassane Ouattara amekiri ukweli wa taarifa hiyo maamuzi ambayo yalitangazwa baada ya mkutano wa Baraza la Mawaziri ambapo alikubali kujiuzulu.
Mkutano huo ulifanyika leo Aprili 13, 2022 Jijini Abidjan.
Achi alikuwa Waziri Mkuu wa tatu katika taifa hilo la Afrika Magharibi katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Awali, Patrick Achi alikuwa Katibu Mkuu wa Rais wa Ivory Coast, aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu mnamo Machi 8, 2021 baada ya Hamed Bakayoko aliyefariki mwaka 2020.
Chanzo: Aljazeera