Ivory Coast-Nchi Moja-Marais Wawil-Aibu Kwa Afrika

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GrEatThinkers!
Hivi kuna nini Afrika, Mbona inatia KicheFF cHeFF
Mpinzani Kashinda Urais katangazwa na Tume; Rais aliyetakiwa kuachia madaraka katangazwa na Mahakama kuwa ndiye Rais na Wote wamkula kiapo.
Tunajifunza nini kuhusu madaraka ya MARAIS afrika na Katiba Zetu????


Staki kuskia anateua Majaji wote:target:
Staki kuskia anateua Mkuu wa Majeshi Tz
Staki Kuskia anateua Masajili wa Vyama vya siasa
Staki kusikia anateua Mkuu wa Polisi Tz
Staki kusikia anateua Mkuu wa mkoa
Staki kusikia anateua Mkuu wa Takukuru
Staki kusikia anateua Mkuu wa Wilaya
Staki kusikia anateua swahiba kuwa Mbunge af anampa uwaziri
Staki kusikia anateua Wakurugenzi
Staki kusikia anateua Mkuu wa Tume ya uchaguzi
Staki kusikia.......Staki Kusikia.... Stak

:A S 114:
 
Back
Top Bottom