Ivona Kamuntu wa Azam, Mungu anakuona ujue

Hii tabia ya kung'ata lips kisha unaishia kwa kasi hadi inatoa sauti mimi najisikia mfadhaiko sana. Kila ukisoma habari hapo luningani Azam two mimi husubiria tukio hilo unalolipendaga mara kwa mara na zile kucha ndefu zenye rangi mimi hoi hasa ukiwa unabishana na Charles Hiraly mimi hoi.

Umenisoma

Mkuu Raymond Nyamwihula anakusikia...ndio maana tunawaambia muoe mapema, kabla ya kuwaiwa na Ray wewe ulikuwa na nafasi mkuu. Ila kama unamtafuta nicheki inbox nikuunganishe.
 
Hii tabia ya kung'ata lips kisha unaishia kwa kasi hadi inatoa sauti mimi najisikia mfadhaiko sana. Kila ukisoma habari hapo luningani Azam two mimi husubiria tukio hilo unalolipendaga mara kwa mara na zile kucha ndefu zenye rangi mimi hoi hasa ukiwa unabishana na Charles Hiraly mimi hoi.

Umenisoma

Raymond Nyamwihula ATAKUUA. Anampenda sana mkewe kila wakati anamposti. Haachagi kuweka hii Hash Tag...
rayvonmoments
 
Back
Top Bottom