Elections 2010 Ivi uraisi wa jk unakoma lini?

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,711
2,226
Katiba ya Tz mparaganyiko wa hali ya juu.
Kama JK bado ni raisi wa Tz mpaka leo then akishinda anaapishwa kwa ajili ya nini wakati bado hajautema huo uraisi.
Na sasa JK anatambulika kama nani?
Shein ni raisi wa Zanzibar kuanzia leo does that mean bado ni makamu wa raisi bse bado hajautema rasmi.
Total confusion
 
Kwa katiba ya Tz ajira ya Rais inakoma akishaapishwa Rais mpya
 
Kama mpaka akiapishwa raisi mpya then raisi wa sasa ni nani?
Najua utasema JK then if so kuna haja gani ya kumwapisha incase akishinda?
 
I real wonder hili likatiba as if liliandikwa na chekechea mtu anapanda majukwaani kuomba kura but stil ni raisi what the crap!
nina hasira na NEC sana now i understand why people like osama still exist, i wishi i katiba ibadilishwe haraka iwezekanavyo watu wanaweka katiba ili iwalinde wa***nge walioko madarakani kuliko kuangalia maslahi ya wananchi kwanza .
 
Kipindi cha Rais ni miaka mitano tu kwa hiyo hata akishinda tena inabidi aapishwe ndo awe tena Rais kisheria. Sijui katiba inasemaje kama miaka mitano ikipita na rais mpya hajaapishwa?
 
JK urais wake ulikoma tarehe 31-10-2010 sasa hivi ni mgombea wa kiti cha urais kwa ticket ya CCM, kisheria kama sijakosea sasa hivi nchi inakuwa chini ya Jaji Mkuu.
 
Katiba ya Tz mparaganyiko wa hali ya juu.
Kama JK bado ni raisi wa Tz mpaka leo then akishinda anaapishwa kwa ajili ya nini wakati bado hajautema huo uraisi.
Na sasa JK anatambulika kama nani?
Shein ni raisi wa Zanzibar kuanzia leo does that mean bado ni makamu wa raisi bse bado hajautema rasmi.
Total confusion


Utakoma pale bei ya sukari itakapokuwa 8000/- kwa kilo, bei ya cement 35,000/- kwa mfuko na bei ya bati moja 40,000/-!
 
Kama ulikoma Jpili then Zenji alienda kama nani?
Kama bado ni raisi akiapishwa naona atakuwa raisi * 2
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom