Ivi upendo unathibitishwa kwa hela?

makodeo

Member
Oct 12, 2017
6
1
Nimekutana na msichana miezi miwili iliyopita nikampa mistari kwanza kaniambia anamtu wake sikukata tamaa baadae ameniambia eti kama nina upendo wa kweli nimtumie laki tano kuthibitisha upendo wangu.

Naomba ushauri ananitega au anashida na pesa kweli?
 
Wkt mwingne kama unahis wew una kipaj cha kuchekesha au vituko heri utoe uzi wa kutafuta ufadhil utoe video kabsa,zaid ya hapo unakuwa na shiida kimaaz,unaomba ushaur wa hivo so what??

Unamaanisha ukiambiwa umtumie utamtumia ili utoe mrejesho syo?

Kuwen makin jamn vingne vinaonekana

MTUMIE,TENA MTUMIE LEO

Nawasilisha

Idiology super star
 
najua umepata kazi juzi juzi na ushapeleka salary slip maana dem kama uwezo wako wa kuonga biko nguvu ya buku awez kuomba laki tano wanaume wa dar cjui mpoje kutongoza wavivu nguvu za kiume nazo shedah alooo
 
Ushauri wa nini wakati ushaambiwa utume, we fanya kutuma afanye verification.
 
c utume kama unampenda kweli.
bomu pia huwa ni jibu kwamba mtu akutak. so huwo ni msisitizo kuwa hakutak
 
Ni haki yake hata kukataliwa maswali tu yenyewe ya kindezi
Huyo mwanamke ana akili sana..wanasema ukitaka kumfanya mwanaume aache usumbufu ni kumuomba hela asiyokuwa na uwezo nayo
Sasa huyu mkuu hana hiyo laki tano anakuja kusumbua na maswali ya kitoto
 
Sawasawa na mwanzo 1:26,tumia akili yako vizur.usidhalilishe hiyo jinsia Mungu aliiheshimu sana kuliko unavyo jichukulia.

~kufeli kimaamuzi na uzito wa kufikiri,nikufeli katika mambo yote yanayo pitia njiapanda na ww ni kichwa.usipo kaa sawa utauza uanaume wako kwa urembo wa mbinti uno kwisha.

~km huamin kasome biblia yako kilicho mkuta esau baada ya kuuza uzaliwa wa kwanza kwa dengu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom