Ivi ukiwa mtaani ukasikia jina funzadume mawazo yako yatakupeleka wapi?

oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
Ndugu zangu leo nimekaa nikawaza ivi ikitokea uko kitaa ukasikia mtu anaitwa funzadume mawazo yako yataenda wapi?ID gani nyingine zinazofuraisha humu Kwenye forum ambazo ukiwa unasoma post zao uwa unacheka?
 
mhhhhhh, mengine ya kilugha hata maana huwezi kujua kamwe mpaka uwe miongoni mwa members wa kabila husika.
 
funzadume mawazo yananipeleka kwenye ngono zembe.
mi nam-mind sana MRBOSS japo anabadilika badilika.
 
Ndugu zangu leo nimekaa nikawaza ivi ikitokea uko kitaa ukasikia mtu anaitwa funzadume mawazo yako yataenda wapi?ID gani nyingine zinazofuraisha humu Kwenye forum ambazo ukiwa unasoma post zao uwa unacheka?
oldonyo .................. lengai
 
funzadume mawazo yananipeleka kwenye ngono zembe.
mi nam-mind sana MRBOSS japo anabadilika badilika.

huyu kwa funzadume kwa hayo mambo anatisha vipi mamndenyi jamaa bado hajakuanika kwenye lile jukwaa lake?
 
Huyu jamaa kwenye mambo yetu ya kukaa kama tulivyozaliwa anajitahidi sana

umeona ehee afu saivi yupo rikizo kwaiyo take care asije na picha zake tukasikia ona facebook alipofumaniwa.teh teh...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom