Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Inawezaa tokeaa ikawa mapenzi au dume suruali
Hahaha dah
Hilo jamaa linaonekana kama zezeta
Evidence mkuu unazoHiyo wamepiga picha kwa ajili ya kupost kwenye mitandao, hakuna uhalisia.
Hilo jamaa linaonekana kama zezeta
Yani unabeba bao lako mwnyw halaf unamsuka na mama watoto
Kufanya kimoja kwa wakat inawezekana lkn sio vyote kwa mpigo
Halafu wewe utakuja usutwe mchana kweupe waache wenye mahaba yao wanaume wa mkoa fulani hivi
PreciselyHii picha ina tafsiri nyingi,tafsiri nnayoipenda mimi ni kuwa jamaa kaamua kumsaidia mwenzie kidogo ili mwanamke apate kupumzika. Sioni ubaya kwa hilo ukitilia maanani wanawake wengi huwa wanaumia sana na kazi za nyumbani na malezi ya watoto,hata kama wanafanyakazi.Kusaidiana ndani ya nyumba kunakuza mapenzi,heshima,kuthaminiana na ukaribu.
Lakini haitakuwa vizuri kama jamaa kazi yake ni hiyo kukaa nyumbani na kulea,mwanaume lazima kuwa mstali wa mbele kujishughulisha na kupambana na maisha.
Bao lako huwezi kuacha kulijuaWw umejuaje ka Lake?
Mahaba nipopoe Huna hela usinishike