Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,442
- 25,584
Mpaka machozi yanamtoka........Kwi kwi kwi...Aisee kuna mambo humu..
my dia mangi amezoea kushika helaa sasa kashikwa u.... Kachanganyikiwa ! Chezeya watanga wewe!! Siku atazima nakwambia!
naona mdomo wazi!!
Umeona eeee ndio maana kesi za mauaji ya wachaga waliochanganyikiwa na penzi zinaongezeka! Wadada taratibu ukipata mpenzi wa kichaga mwendeshe kwa kasipidi kaduchuuuuuuuuu
halafu akose utamu???
Ndo mara yako ya kwanza mapenzini??
Mashoga nao wameshavamia jf
Ndo mara yako ya kwanza mapenzini??