Ivi mtu mwenye miaka 30 kuja juu anaweza kuja kuajiriwa kweli ?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Nimejaribu kufikiria kuhusu graduate aliyemaliza chuo akiwa amemaliza chuo na yupo muda mrefu nyumbani akiwa bado hajapata kazi amekaa nyumbani hadi inafika hatua anatimiza miaka 30 zaidi na kuendelea ...........

Je mtu kama huyu atakuja kweli kuajiriwa tena kama ajira zenyewe zinaitaji uwe na uzoefu na huna uzoefu upo tuu nyumbani lakini pia umri siku hizi pia umekuwa kigezo cha kuajiriwa maana kuna umri flani ukifika tuu unapoteza sifa za kuajiriwa ????
 
Umri huo unaweza ajiliwa ila ukifika 45 hapo ndo mtiti
 
Back
Top Bottom