ivi kweli mkataa kwao mtumwa?

KHAMISsecret

Senior Member
Sep 22, 2011
178
65
kwanza samahanini wanajamii wenzangu, ila leo ningependa kupata mawazo yenu, kwanin sis watanganyoka tunaikataa tanganyika yetu? Na hata pale wenzetu waz'bari wanapojivunia nchi tunawajia juu na kuwashambulia? Yaan sis tumekuwa watu wa ajabu kwani tumekuwa tunaadhimisha kitu kisichokuwepo, mfano sisi tulitafuta uhuru wa tanganyika na tukaupata ila sasa tukishangilia uhuru huu huu bado tunaita uhuru wa tanzania bara... Imetoka wapi hii nchi ya tanzania bara kwani tulipounganisha nchi hii na ya zanzibar ilikuwa inaitwa tanzania bara au uhuru wetu tulipoupata ndo ulivoitwa ivo? Hebu watanganyika tuacheni mzaha... Tusiwe watumwa kwa kukataa asili ya nchi yetu...!
 
Back
Top Bottom