ivi kwel kuna wanafunzi bado wapo nyumbani hawaja riport chuo kwa kukosa mkopo?


Chuck j

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Messages
2,281
Likes
584
Points
280
Chuck j

Chuck j

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2011
2,281 584 280
Wapo sana,,,ninamjua m1,anasota sana,na kunakipindi alimtafuta mtoto wa kigogo amkopeshe atlist alipe then atamrudishia,mh huyo alikubali kumsaidia,mwisho wa siku alimtosa,inauma!!
 
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,168
Likes
5,293
Points
280
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,168 5,293 280
Ukijua utawasaidiaje uliza vitu vya maana ina maana hujui kuna watu walikosa mikopo.
 
K

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Messages
254
Likes
4
Points
35
K

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2013
254 4 35
Hii Tanzania bhana,,,wakati bodi wanatoa loan successfully applicants,,waliokosa waliandikiwa hivi,,,"you were not allocated loan because completed three years back"njoo katika ali alisi chuoni sasa,,jamaa kibao wamemaliza kidato cha nne 1983,,alafu ana mkopo,,1996,alafu anamkopo.hiyo bodi ya mikopo inabidi ichunguzwe kwa kweli,,,,,rushwa tuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!
 
L

LOMP

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Messages
217
Likes
3
Points
0
L

LOMP

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2013
217 3 0
yap hiyo bodi aliyeianzisha alikuwa na fikra pevu juu ya watanzania ila wanaofanya kazi kwenye hiyo bodi ni walanguzi tu
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,237
Likes
87
Points
135
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,237 87 135
Tatizo Tz kila mtu hadi Rais kazi yake kubwa ni kulalamika na si kuchukuwa hatua.
 
irumba1

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Messages
859
Likes
239
Points
60
irumba1

irumba1

JF-Expert Member
Joined May 10, 2013
859 239 60
mim nimeghair kwenda chuo baada ya kukosa mkopo ila ntaaply tena mwakani
 

Forum statistics

Threads 1,250,739
Members 481,468
Posts 29,743,643