Ivi Kwann isiwe sisi?

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
Kwakeli nimependa sana wazo la kuchangia wahang,lkn kwanini sisi kama wana JF tusikutane leo jioni japo tuanze na mchango wa elfu 5 tu kwa kila mwanachama maana kutoa ni moyo tena ikumbukwe leo ni wao na kesho ni sisi,ni mtazamo wangu tu sijui mna maoni gani wenzangu.
 
kwakeli nimependa sana wazo la kuchangia wahang,lkn kwanini sisi kama wana jf tusikutane leo jioni japo tuanze na mchango wa elfu 5 tu kwa kila mwanachama maana kutoa ni moyo tena ikumbukwe leo ni wao na kesho ni sisi,ni mtazamo wangu tu sijui mna maoni gani wenzangu.
......!:d:d
uko siriaz?
 
Sawa, pendekeza tukutane wapi na pia upendekeza progamu nzima ya kukutana.

Angalizo: Pawe ni sehemu inayofikika kirahisi kwa kila mtu, awe wa usafiri wa ''public'' au ''private''. Pili, pawe na nyama choma, mishkaki, mchemsho wa samaki na,of course, bia ziwe zinapatikana mahala hapo!
 
mm ningependekeza sigara club sijui wenzangu
Sawa, pendekeza tukutane wapi na pia upendekeza progamu nzima ya kukutana.

Angalizo: Pawe ni sehemu inayofikika kirahisi kwa kila mtu, awe wa usafiri wa ''public'' au ''private''. Pili, pawe na nyama choma, mishkaki, mchemsho wa samaki na,of course, bia ziwe zinapatikana mahala hapo!
 
pendekeza basi tukutane wapi,lakini pia ku-organise watu si swala dogo(kwa practical exiperience yangu)

jaribu kuwaomba kaizer,x-pin na fidel80 au G wakusaidie.sijawahi kuona watu wengine wakiorganise meeting zaidi ya hao
 
maybe u can as well tok to those pple,I knw kuoganize watu tena wazima is very difficult,but tukumbuke hawa ni wenzetu so plz as member nakupa ile hiyo kazi si tunagawana majukum?

Mi napendekeza Break Point (former Posta Club) adjacent Billicana. Ni rahisi kufikika na ni mahali ambapo kila kitakachohitajika kitapatikana. Lakini donee sio 5,000/= jamani kwa nini isianzie 20,000/=? Ni wazo tu..
 
Hiyo Tshs. 5,000 pia itapokelewa tu, kutoa ni moyo na wala si utajiri. What matters is the gesture and not the amount!

Huo ndio mtazamo wangu!
 
maybe u can as well tok to those pple,I knw kuoganize watu tena wazima is very difficult,but tukumbuke hawa ni wenzetu so plz as member nakupa ile hiyo kazi si tunagawana majukum?
hehehe!we jaribu kuwa-piemu tu hao watu
you must feel that taste of organising people
mimi nitakuja
 
mimi nilipendekeza elfu 5 as starting point lkn haikatazwi kuongeza
Mi napendekeza Break Point (former Posta Club) adjacent Billicana. Ni rahisi kufikika na ni mahali ambapo kila kitakachohitajika kitapatikana. Lakini donee sio 5,000/= jamani kwa nini isianzie 20,000/=? Ni wazo tu..
 
Hii inatofautiana vipi na ile ya kwenye Siasa? Au hii itapelekwa pamoja under the name ya Special from JF? Hebu nielewesheni
 
kiukweli nimegushwa ni tofauti kabisa tukikutana tutajipanga kimawazo zaidi two heads are better than one
Hii inatofautiana vipi na ile ya kwenye Siasa? Au hii itapelekwa pamoja under the name ya Special from JF? Hebu nielewesheni
 
sasa naomba nijue watu serios watakao kuja leo tukutane na no zao za cm tafadhali
1.Pearl
2.
3.
4.
 
point ya pearl ni ya msingi sana.kuna michango ikipelekwa kama ya forum ITATUJENGEA JINA SANA!
 
sasa naomba nijue watu serios watakao kuja leo tukutane na no zao za cm tafadhali
1.Pearl
2.
3.
4.

Namba za simu unataka tuziweke hapa hadharani au tukutumie kwenye PM? Maana wengine namba zetu za simu zimekaa shaghala bhagala, hazina mvuto......! Yaani ni mchanganyiko wa maharage na mchuzi, sio zile za 0718 200555
 
Back
Top Bottom