Ivi kwa nini wadada wengi wenye degree huwa wanaishia kuolewa na wanajeshi/mapolisi?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Poleni na msiba wa mandela wakuu,ebwana kwa kautafiti kangu kadogo nilikokafanya,nimegundua ya kwamba wadada wengi wanaomaliza vyuo vikuu hasa ngazi ya degree,huwa wanaishia kuolewa na wanaume ambao ni wanajeshi au mapolisi..swali ni kwamba,zile couple tunazozionaga huku vyuoni huwa zinaishia wapi mpaka ipelekee wakaolewe na hao masoldiers?
 
Kwani kuolewa na hao askari ni makosa?

Couples zao si zinakuwa zimekufa ndiyo maana wanaolewa na wengine.

Research yako ulifanyia wapi kuwa wasomi hao wengi ni wake za makamanda??
 
wakimaliza chuo wanaunganisha jeshini ili kupata ajira kwa urahisi na vyeo ndo maana unakuta watu ni walewale ila tu professional nyingine....
 
Utafiti wako umeufanyia wapi? polisi au wanajeshi walio wengi wameishia form four au standard seven, sasa napata shida kuamini utafiti wako.
 
Poleni na msiba wa mandela wakuu,ebwana kwa kautafiti kangu kadogo nilikokafanya,nimegundua ya kwamba wadada wengi wanaomaliza vyuo vikuu hasa ngazi ya degree,huwa wanaishia kuolewa na wanaume ambao ni wanajeshi au mapolisi..swali ni kwamba,zile couple tunazozionaga huku vyuoni huwa zinaishia wapi mpaka ipelekee wakaolewe na hao masoldiers?

Ni kwa sababu tunajua huku vyuoni hamna la maana, PERIOD!!!
 
Poleni na msiba wa mandela wakuu,ebwana kwa kautafiti kangu kadogo nilikokafanya,nimegundua ya kwamba wadada wengi wanaomaliza vyuo vikuu hasa ngazi ya degree,huwa wanaishia kuolewa na wanaume ambao ni wanajeshi au mapolisi..swali ni kwamba,zile couple tunazozionaga huku vyuoni huwa zinaishia wapi mpaka ipelekee wakaolewe na hao masoldiers?
kuishia kuolewa na wanajeshi ndio nini?
 
Poleni na msiba wa mandela wakuu,ebwana kwa kautafiti kangu kadogo nilikokafanya,nimegundua ya kwamba wadada wengi wanaomaliza vyuo vikuu hasa ngazi ya degree,huwa wanaishia kuolewa na wanaume ambao ni wanajeshi au mapolisi..swali ni kwamba,zile couple tunazozionaga huku vyuoni huwa zinaishia wapi mpaka ipelekee wakaolewe na hao masoldiers?

Hii research itakua imefanyika Musoma Mara Magumu
 
mawazo ya kivivu....inabidi uwe mbabe kuweza kuishi nao.
 
Mhh huu utafiti sio kwel ht kdogo,degree ladies marry all kinds of men
 
Poleni na msiba wa mandela wakuu,ebwana kwa kautafiti kangu kadogo nilikokafanya,nimegundua ya kwamba wadada wengi wanaomaliza vyuo vikuu hasa ngazi ya degree,huwa wanaishia kuolewa na wanaume ambao ni wanajeshi au mapolisi..swali ni kwamba,zile couple tunazozionaga huku vyuoni huwa zinaishia wapi mpaka ipelekee wakaolewe na hao masoldiers?

Unaongelea degree ipi? bachelor, masters au doctoret? Manake hizo zote ni degree, au duce au udom au saut walikuambieni degree ni nini?
 
Kwa polis umeongopa mkuu. Police wengi wanapenda kuoa akina mama wenye elimu ya kawaida sana. Wengi wanapenda kuoa walio ishia std 7 na form 4. Kama huamini pitia sehemu za kambi zao na makazi.
 
Back
Top Bottom