Ivi kuna ubaya gani nikizoea kumuita mama yangu mzazi Mama Joan (jina la mdogo wangu)

Sio shida, unaweza kumuita hata jina lake kabisa mfano kama anaitwa Janeth, Jane, Juliana, Judith
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom