warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,378
Hawa wadada walikuwa mabest sana,yaani wema sepetu snura mushi(mama majanga),ila baadae walikuja kuzinguana had kufikia hatua ya kutoleana maneno machafu kwenye vyombo vya habar,sasa leo nimesikia snura anafanya uzinduz wa video yake ya majanga na wema sepetu atakuwepo,nikashtuka kidogo hawa c waligomban na kashfa juu imekuaje??,kama waliamu kukaa na ku solve matatizo yao sawa coz binadam we make mistakes