Ivi ile ushoga wa wema na snura ulifikia wapi???

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,375
Hawa wadada walikuwa mabest sana,yaani wema sepetu snura mushi(mama majanga),ila baadae walikuja kuzinguana had kufikia hatua ya kutoleana maneno machafu kwenye vyombo vya habar,sasa leo nimesikia snura anafanya uzinduz wa video yake ya majanga na wema sepetu atakuwepo,nikashtuka kidogo hawa c waligomban na kashfa juu imekuaje??,kama waliamu kukaa na ku solve matatizo yao sawa coz binadam we make mistakes
 
Toa usenge wako hapa....pelekeni thread za saluni huko huko pambavu kabisa.......
 
We ni mwanaume au mwanamke?-sio vizuri kujipinda kuandika na kufuatilia ishu za watu binafsi namna hiyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata hii ishu ni ya kibinafsi,na wewe ungenyamaza kimya
 
wakigombana hawaruhusiwi kupatana?? au unapenda vurugu kams za ruge na jaydee kila siku??
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom