Ivi huu sio UONEVU kweli?

Othmorine

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
691
1,000
Kila kukicha nimekuwa nikisikia matangazo ya dawa za kurefusha(kuongeza) uume.Lakini mbona sijawahi kusikia hizo za upande wa pili(za kuongeza papuchi)?

Je,hii ni haki kweli?
Usawa uko wapi hapa?
Mbona hatuwatendei haki hawa dada zetu?

Utarefushaje uume huku ukiuacha uuke katika hali ile ile?!!
Huu si uonevu jamani?!!!
Ivi wanawake hamlioni hili au mmeridhika tu na ninyi?!!
Kwanini msiandamane kupinga uonevu huu???

Naomba kuwasilisha.
 
Jamiix

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
839
500

zinaenda parallel, uume wako ukikua na ukauchomeka, basi na yake inakua accordingly
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom