James alamba JF-Expert Member Dec 23, 2016 216 106 Dec 30, 2016 #1 Uhakiki bado tu kwa wafanyakazi hewa ...maana tunasota kinyama bila ajira mtaani?
S shiiiii Senior Member Nov 26, 2016 124 59 Dec 30, 2016 #2 Alikuwapo neno, neno huyu alikuwa mikononi mwao, ufanyakazi hewa ni janga sugu, wapo vigogo wazito, je tusite au tuwatose?
Alikuwapo neno, neno huyu alikuwa mikononi mwao, ufanyakazi hewa ni janga sugu, wapo vigogo wazito, je tusite au tuwatose?